Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas
Sarkozy amebadili jina la chama chake kutoka Union for a Popular
Movement (UMP) na kuwa The Republicans.
Wajumbe wa chama kikuu cha upinzani
Ufaransa walipiga kura ya kuunga mkono mabadiliko ya chama hicho kwa
asilimi 83, kuridhia mabadiliko hayo.
Hatua hiyo imechoche mjadala mkubwa
nchini Ufaransa, huku wakosoaji wa mambo wakisema watu wote wa
Ufaransa ni Republicans. Sarkozy anatarajiwa kuwania urais tena mwaka
2017.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni