Kikosi kazi kilichoundwa nchini
Kenya kimependekeza kufukuzwa kazi wafanyakazi 60,000, kupunguzwa
idadi ya wabunge pamoja na wajumbe wa baraza la kauti kwa nusu ili
kupunguza mzigo wa mishahara ya umma.
Iwapo mapendekezo ya kikosi kazi
hicho kilichoundwa kuangalia namna ya kupunguza uendeshaji wa ngazi
mbili za serikali zilizoundwa na Katiba mpya yatafuatwa yatafanya
wabunge 145 kupuguzwa na wajumbe wa mabaraza ya kaunti 1,110.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni