.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 10 Juni 2015

BAADA YA KUTANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS KATIKA UCHAGUZI MKUU UJAO, BALOZI AMINA SALIM ALI AWASILI PEMBA KUSAKA WADHAMINI

BALOZI wa kudumu kwenye baraza la umoja wa mataifa anaeliwakilisha bara la Afrika Amina Salim Ali, ambae nae ameshatangaaza nia ya kuomba kuteuliwa na chama chake cha CCM, kuwa mgombea wa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo tofauti, kwenye uwanja wa ndege wa Pemba, alipowasili kisiwani humo kwa ajili ya kusaka wadhamini, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 BALOZI wa kudumu kwenye baraza la umoja wa mataifa anaeliwakilisha bara la Afrika Amina Salim Ali, ambae nae ameshatangaaza nia ya kuomba kuteuliwa na chama chake cha CCM, kuwa mgombea wa nafasi ya uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akizungumza na wadhamini wake wa mkoa wa kaskazini Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
BALOZI wa kudumu kwenye baraza la umoja wa mataifa anaeliwakilisha bara la Afrika Amina Salim Ali, ambae nae ameshatangaaza nia ya kuomba kuteuliwa na chama chake cha CCM, kuwa mgombea wa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akionyesha majina ya wanaccm waliomdhamini wa mkoa wa kusini Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni