Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na
Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (aliyeshika mfano
wa ufunguo) akizungumza neno muda mfupi kabla ya makabidhiano wa
zawadi ya Passo kwa mshindi wa Mkoa wa Mbeya Mwinyi Khamis Juma.
Kushoto ni Meneja wa Benki hiyo tawi la Mwanjelwa, Ephraim Lwila na
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Sumbawanga, Colnerius Msigwa (kulia).
Mshindi wa Shindano la "Tuma
Pesa na Simbanking Shinda Passo" Mwinyi Khamis Juma mkazi wa
Mbalali mkoani Mbeya, kiushukuru uongozi wa Benki ya CRDB baada ya
kuibuka mshindi wa Promosheni ya Shindano la 'Tuma Pesa na Simbanking
Shinda Passo' inayoendeshwa na benki ya CRDB. Kulia ni Meneja wa
Benki hiyo tawi la Mwanjelwa, Ephraim Lwila.
Mwinyi Khamis Juma akiwa amepozi kwa
picha mbele ya gari lake aina ya Passo.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB mkoa wa
Mbeya, Benson Mwakyusa akimkabidhi mfano wa ufunguo mshindi wa
Promosheni ya 'Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo' Mwinyi Khamis
Juma baada ya kuibuka mshindi. Wengine wanaoshuhudia ni Wakurugenzi,
Mameneja pamoja na maofisa wa Benki hiyo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni