.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 17 Juni 2015

KOREA KASKAZINI IMESEMA INAKABILIWA NA UKAME MBAYA KUWAHI KUTOKEA KATIKA KARNE

Korea Kaskazini imesema inakabiliwa na ukame mbaya kuwahi kutokea katika karne, na kuibua hofu ya uhaba mkubwa wa chakula katika taifa hilo.

Shirika la Habari la Taifa la nchi hiyo (KCNA) limesema mikoa inayoongoza kwa kilimo cha mpunga imeathiriwa vibaya na ukame huo.

Mamia kwa maelfu ya raia wa Korea Kaskazini wanaaminika kufa wakati wa ukame mkubwa uliotokea katika mwaka wa 1990.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni