.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 15 Juni 2015

MPIGANAJI ALIYEFANYA SHAMBULIO KATIKA MTAMBO WA GASI AUWAWA NA MAREKANI


Mpiganaji wa kiislam ambaye aliagiza kufanyika shambulio baya katika mtambo wa gesi wa Algeria miaka miwili iliyopita ameuwawa katika mashambulizi ya anga ya Marekani nchini Libya.

Kiongozi huyo Mokhtar Belmokhtar pamoja na wapiganaji wengine wameuwawa katika mashambulizi ya anga katika mji wa mashariki wa Ajdabiya, taarifa ya serikali ya Libya imesema.

Makao Makuu ya Idara ya Ulinzi ya Marekani Pentagon imeelezea shambulio hilo kuwa ni lenya mafanikio na maafisa kwa sasa wanatathimini matokeo yake.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni