Hotel hii yenye hadhi ya nyota tano, imeanza kutoa huduma hivi karibuni lakini imekuwa kivutio kikubwa kwa wageni mbalimbali wa ndani na nje ya nchi wanaofika hotelini hapo. Picha hii imepigwa kwa nyuma upande wa baharini.
Doreen akiwa katika bwawa la kuogelea na Denzel ( picha chini ) wakifurahia utalii wa ndani na mandhari ya kuvutia Ramada Hotel.
Denzel





Hakuna maoni :
Chapisha Maoni