Wadhamini wa Shirikisho la Soka
Duniani (Fifa) makampuni ya Visa, Coke, pamoja na McDonald,
wameupongeza uamuzi wa Sepp Blatter kujiuzulu kuongeza shirikisho
hilo.
Uamuzi wa Blatter kujiuzulu umekuja
huku shirikisho hilo likigubikwa na tuhuma za rushwa.
Hata hivyo makampuni ya Visa na Coke
yamerejea tahadhari yao kuwa wanatarajia kufanyika mabadiliko katika
Fifa.
Huku kampuni ya McDonald ikisema
kuwa nimatumaini yake kuwa hii ni hatua ya kwaza kwa Fifa kurejesha
tena matumaini kwa mashabiki duniani kote.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni