.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 9 Juni 2015

WAFANYAKAZI WAHOJIWA BAADA YA KUTOROKA GEREZANI WAFUNGWA MAREKANI

Polisi nchini Marekani wanawahoji wafanyakazi katika gereza moja lenye ulinzi mkali Jijini New York kufuatia tukio la kutoroka kwa wafungwa wawili wa mauaji.

Gavana wa Jiji hilo Andrew Cuomo amesema mamia ya wafanyakazi na wajenzi wa gereza hilo wanachunguzwa kubaini iwapo waliwasaidia wafungwa hao vifaa walivyotumia kutorokea.

Wafungwa Richard Matt, 48,na David Sweat, 34, walitumia vifaa vyenye uwezo mkubwa kuvunja gereza la Clinton lililopo Dannemora siku ya Ijumaa.
               Bomba walilotoboa wafungwa na kupita ndani kutokea nje ya gereza
                                                  Hapa ndipo walipoibukia na kutokomea mitini

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni