.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 6 Julai 2015

DK. SHEIN AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MPYA WA JAPAN IKULU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi mpya wa Japan katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Masahau Yoshinda alipofika Ikulu Mjini Unguja leo kujitambulisha kwa Rais,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na na Balozi mpya wa Japan katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Masahau Yoshinda alipofika Ikulu Mjini Unguja leo kujitambulisha kwa Rais,[Picha na Ikulu.]

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni