.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 6 Julai 2015

MGOMBEA NAFASI YA URAIS KUPITIA CCM, BALOZI AMINA ALI SALIM AZUNGUMZA NA WANAHABARI ZANZIBAR

Mgombea Nafasi ya Urais kupitia Chanma cha Mapinduzi Balozi Amina Ali Salim akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar kuhusiana na Nia yake ya kugombea nafasi hiyo na majukumu atakayoyatekeleza endapo atapata ridhaa ya Chama chake kumteuwa kugombea nafasi hiyo.
Balozi Amani akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari katika ukumbi wa hoteli ya bwawani Zanzibar leo asubuhi.
 Waandishi wakifuatilia mkutano wao na Balozi Amina akizungumzia malengo yake.
Waandishi wakiwa makini kumsikiliza Balozi Amina. Kwa hisani ya ZanziNews

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni