.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 6 Julai 2015

MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI, IGP ERNEST MANGU AHUDHURIA IBADA YA KUSIMIKWA ASKOFU WA KATOLIKI SINGIDA

ig1
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akisalimiana na Mtawa wa kanisa katoliki pamoja na wananchi waliohudhuria ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Mhashamu Edward Mapunda kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Singida jana.Kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi Thobias Sedoyeka.(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
ig2
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akisalimiana na watawa wa kanisa katoliki waliohudhuria ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Mhashamu Edward Mapunda kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Singida jana.(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
ig3
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk.Parseko Kone(kushoto) akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu (kulia) kabla ya kuanza ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Mhashamu Edward Mapunda kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Singida jana.(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
ig4
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akimpongeza Askofu Edward Mapunda baada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kuwa Askofu wa Jimbo katoliki Singida.Ibada hiyo ilifanyika jana mkoani Singida.

                                                         (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni