.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 6 Julai 2015

TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR YATANGAZA MAJIMBO YA UCHAGUZI

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC Mhe. Jecha Salim Jecha, akitangaza Mabadiliko ya Idadi, Mipaka na Majina ya Majimbo ya Uchaguzi kwa mwaka huo unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2015.Mkutano huo na waandishi wa habari umefanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar leo.
Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar wakifuatilia hafla hiyo ya Kutangaza Majimbo ya Uchaguzi Zanzibar ilofanywa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jecha Salim Jecha katika ukumbi wa Hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar.
Waandishi wakifuatilia Utangazaji wa Majimbo ya Uchaguzi yaliotangazwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, katika ukumbi wa Hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar.
Maofisa wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar wakifuatilia Utagazaji wa Majimbo ya Uchaguzi Zanzibar baada ya kufanyiwa marekebisho.kisheria
Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo wakati Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar akitangaza Majimbo ya Uchaguzi katika ukumbi wa Hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar
Maofisa wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar wakifuatilia mkutano huo wa waandishi wa habari wakati wa kutangaza Majimbo ya Uchaguzi. hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya grand palace malindi Zanzibar

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni