Mfalme Salman wa Saudi Arabia,
amewasili kusini mwa Ufaransa kwa mapumziko ya wiki tatu ambayo
itapelekea fukwe ya eneo atakalopumzika kufungwa kwa muda.
Wakazi wa eneo la fukwe hiyo
wamekasirishwa na kitendo cha fukwe ya umma kufungwa kwa manufaa ya
mtu mmoja na familia yake.
Hata hivyo kinyume na wananchi
wafanyabiashara wameonekana kuvutiwa na masharti hayo kwa madai kuwa
Mfalme Salman huingiza pato kubwa katika eneo hilo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni