Rapa Nicki Minaji nusura aharibu
onesho jana usiku katika tamasha la Wireless Jijini London kutokana
na kuchelewa kufuatia vikwazo vya kiusafiri.
Mashabiki wa nyota huyo walikasirika
baada ya kulazimika kumgonjea Nicki Minaj afike ukumbimi kwa saa
mbili katika shoo hiyo iliyofanyika jana usiku huko Finsbury Park.
Rapa huyo alipangiwa kukwea jukwaani
majira ya saa moja usiku hadi saa mbili usiku, baada David Guetta,
lakini hakutokea jukwaani hadi saa tisa.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni