.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 30 Agosti 2015

ACT-WAZALENDO KUZINDUA RASMI KAMPENI ZA UCHAGUZI LEO ZAKHEM MBAGALA

Chama cha ACT-Wazalendo kinazindua rasmi kampeni zake za uchaguzi hii leo, mkutano ambao pia utatumika kuwatambulisha wagombea wa ubunge wa chama hicho wa Tanzania bara na Zanzibar.

Uzinduzi wa kampeni hizo za unafanyika Zakhem Mbagala na utahudhuriwa na viongozi wote wa kitaifa akiwemo Kiongozi Mkuu wa chama hicho Zitto Kabwe pamoja na Mwenyekiti wa chama hicho Anna Maghwira ambaye pia ni mgombea urais.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni