.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 2 Agosti 2015

BONDIA MWANAMKE RONDA ROUSEY AMDUNDA KWA KO MBRAZIL BETHE CORREIA

Bondia mwanamke Ronda Rousey ameendelea kudhihirisha yeye ni mbaya katika ulingo na hana mshindani wake kwa sasa.

Bondi huyo wa UFC uzito wa bantamweight ametetea taji lake kwa mara ya sita sasa, baada ya kupiga kwa KO, Bethe Correia katika raundi ya kwanza huko Rio de Janeiro.
                                                     Correia akirusha konde lililompata Rousey 
                       Konde la kushoto la Rousey lililompata barabara bondia Correia

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni