Timu ya Borussia Dortmund ilitoka
nyuma kwa kufungwa mabao 3-0 dhidi ya Ballklubb ndani ya dakika 22 na
kuibuka na ushindi katika mchezo wa Ligi ya Uropa hapo jana.
Katika mchezo huo timu hiyo ya
Ujerumani ikicheza kwenye uwanja wa nyasi bandia iliamka na kupachika
mabao 4 na kubadili matokeo kuwa 4-3.
Nyota wa Dortmund Pierre-Emerick
Aubameyang alifunga mabao mawili, Shinji Kagawa moja na Henrikh
Mkhitaryan kufunga kwa kichwa bao la ushindi.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni