Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal
(kulia), akikaribishwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias
Chikawe, wakati wa uzinduzi wa Kanuni za Sheria ya Kuzuia
Usafirishaji Haramu wa Binadamu na Mpango Kazi wa Kitaifa
(2015-2017). Uzinduzi huo ulifanyika katika Viwanja vya Karimjee,
Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya
Kuzuia Biashara Haramu ya Binadamu (ATC), Kinemo Kihorano, akihutubia
wakati wa uzinduzi wa Kanuni za Sheria ya Kuzuia Usafirishaji Haramu
wa Binadamu na Mpango Kazi wa Kitaifa (2015-2017). Uzinduzi huo
ulifanyika katika Viwanja vya Karimjee, Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mathias Chikawe, akihutubia wakati wa uzinduzi wa Kanuni za Sheria ya
Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu na Mpango Kazi wa Kitaifa
(2015-2017). Uzinduzi huo ulifanyika katika Viwanja vya Karimjee,
Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib
Bilal, akihutubia wakati wa uzinduzi wa Kanuni za Sheria ya Kuzuia
Usafirishaji Haramu wa Binadamu na Mpango Kazi wa Kitaifa
(2015-2017). Uzinduzi huo ulifanyika katika Viwanja vya Karimjee,
Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Dk. Mohamed Gharib
Bilal (katikati), akizindua kitabu cha Kanuni za Sheria ya Kuzuia
Usafirishaji Haramu wa Binadamu na Mpango kazi wa Kitaifa 2015-2017.
Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na kulia
ni Mwenyekiti wa kamati ya Kitaifa ya Kuzuia Biashara Haramu ya
Binadamu (ATC), Kinemo Kihorano. Uzinduzi huo ulifanyika katika
Viwanja vya Karimjee, Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal
(kulia), akimkabidhi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias
Chikawe, vitabu vya Kanuni za Sheria ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa
Binadamu na Mpango Kazi wa Kitaifa (2015-2017). Uzinduzi huo
ulifanyika katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani
nchini, Jamal Jafari, akitoa salamu za ubalozi huo wakati wa uzinduzi
wa Kanuni za Sheria ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu na
Mpango Kazi wa Kitaifa (2015-2017). Uzinduzi huo ulifanyika katika
Viwanja vya Karimjee, Jijini Dar es Salaam.
Afisa Operesheni wa Shirika la
Kimataifa la Wahamiaji (IOM), Mira Nikolic, akitoa salamu za shirika
hilo wakati wa uzinduzi wa Kanuni za Sheria ya Kuzuia Usafirishaji
Haramu wa Binadamu na Mpango Kazi wa Kitaifa (2015-2017). Uzinduzi
huo ulifanyika katika Viwanja vya Karimjee, Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal
(wa nne kutoka kushoto), akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya
wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani,wakati wa uzinduzi wa Kanuni
za Sheria ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu na Mpango Kazi wa
Kitaifa(2015-2017). Uzinduzi huo ulifanyika katika Viwanja vya
Karimjee, Jijini Dar es Salaam. Picha zote na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.









Hakuna maoni :
Chapisha Maoni