.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 6 Agosti 2015

DK. SHULE - TANZANIA KUWA MFANO WA KUIGWA KATIKA KUKUZA TASNIA YA FILAMU AFRIKA MASHARIKI

Dr Vicensia Shule kutoka Chuo kikuu cha Dar Es Salaam akielezea sera na mpango kazi wa kuinua na kutangaza utamaduni wa nchi za Afrika Mashariki kupitia tasnia ya filamu katika mkutano wa wadau wa maswala ya utamaduni uliofanyika katika Maonyesho ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Utamaduni Festival (JAMAFEST) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Kenyatta, jijini Nairobi Nchini Kenya.Picha na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni