.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumatatu, 10 Agosti 2015
HARUSI YA NIAH ALMASI NA JACKLINE BUKUKU WA NSSF MBEYA
Mtumishi wa Nssf Mbeya Niah Almasi akiwa na nyuso ya furaha baada ya kufunga pingu za maisha na Jackline Bukuku ndoa iliyofungwa mwishoni mwa wiki iliyopita katika msikiti wa Forest jijini Mbeya na maulid iliyofanyika nyumbani kwa Bw.Harusi Brock T jijini hapa.

Bw.Almasi na Mke wake Jackline katika ubora wao.
Baadhi ya watumishi wa Nssf Mbeya wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya mtumishi mwenzao kupata jiko ,(kushoto) Mr Maige na Khadija Rashidi Shibobo.
Watoto wa madrasa wakisoma dua katika harusi ya Bw.Niah na Jackline nyumbani kwake Block T jijini Mbeya mwishoni mwa wiki..Picha Jamiimojablog.
Aliyekuwa rais wa Shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Omari Ayub akiokoa jahazi kwa kugawa sahani za mpunga (Biliani)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni