Kipande cha pili kinachozaniwa kuwa
ni mabaki ya ndege ya Malaysia MH370, kimeonekana kwenye fukwe ya
bahari ya hindi ya Reunion, baada ya jumatano kupatikana kipande
kingine.
Kipande hicho kinadhaniwa kuwa ni
mlango wa ndege, kimebainika karibu na kusini mwa mji wa St Denis.
Ndege ya Malaysia ya MH370, ilipotea
wakati ikitokea Kuala Lumpur kuelekea Beijing mwezi Machi ikiwa na
abiria 239.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni