Rapa nyota Snoop Dogg amesimamishwa
na polisi nchini Italia akiwa amebeba fedha tasllim dola 422,000
mamlaka za nchi hiyo zimesema.
Rapa huyo alikuwa anasafiri
kupitia uwanja wa ndege wa Calabria, kusini mwa Italia ambako alikuwa
ameenda kutumbuiza.
Kwa mujibu wa sheria ya Umoja wa
Ulaya mtu akisafiri na kiasi cha dola 11,000 kupitia uwanja wa ndege
anapaswa kuzitambushisha mamlaka za nchi wanachama.
Wiki iliyopita rapa Snoop Dogg
alisimamishwa na polisi huko Uppsala, nchini Sweden akishukiwa kuwa
na bangi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni