Mmoja wa viongozi wa Jumuiya ya
Zawiyatul Qadiria (kushoto) akipongezwa na Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko
wa Taifa wa Bima ya Afya nchini (NHIF), Eugine Ngoti (wa kwanza
kulia) kabla ya kukabidhiwa kadi ya matibabu ya NHIF mara baada ya
kumaliza taratibu husika, kiongozi huyo alionesha mfano kwa viongozi
wenzake.
Mmoja wa viongozi wa Jumuiya ya
Zawiyatul Qadiria (kushoto) akikabidhiwa kadi ya matibabu ya NHIF
mara baada ya kumaliza taratibu husika, kiongozi huyo alionesha mfano
kwa viongozi wenzake.
Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya
Zawiyatul Qadiria wakihudhuria semina hiyo kabla ya kuingia katika
mpango wa KIKOA kupitia jumuiya yao. Nyuma ni baadhi ya maofisa
kutoka NHIF wakiwa kwenye semina hiyo.
Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya
Zawiyatul Qadiria wakihudhuria semina hiyo kabla ya kuingia katika
mpango wa KIKOA kupitia jumuiya yao. Nyuma ni baadhi ya maofisa
kutoka NHIF wakiwa kwenye semina hiyo.
Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa
wa Bima ya Afya nchini (NHIF), Eugine Ngoti akizungumza katika semina
kwa viongozi wa Jumuiya ya Zawiyatul Qadiria juu ya umuhimu wa
kujiunga na mpango wa huduma za matibabu ya bima ya afya unaotolewa
kwa makundi yenye malengo mbalimbali ujulikanao kama KIKOA.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni