.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 2 Agosti 2015

NDUGU WAGOMBANA KATIKA IBADA YA KUMBUKUMBU YA BOBBI KRISTINA

Ibada ya kumbukumbu ya binti wa Whitney Houston, Bobbi Kristina Brown imekumbwa na mifarakani, ambayo inaendelea kuonyesha mgawanyiko uliopo baina ya wanafamilia.

Shangazi wa marehemu Bobbi Kristina, aitwae Leolah, aliondoka katika ibada hiyo huku akiwa mwenye hasira baada ya kutopendezwa na mambo aliyofanya ndugu yake aitwae Pat Houston.

Bobbi Kristina, 22, alifariki dunia siku ya jumapili ikiwa ni miezi sita kupita tangu akutwe akiwa hajitambui kwenye bafu la beseni.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni