.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 30 Agosti 2015

MOTO WAUWA WAWILI NA KUJERUHI 105 KATIKA JENGO LA MAKAZI SAUDI ARABIA

Moto mkubwa katika jengo la makazi nchini Saudi Arabia umesababisha vifo vya watu wawili na kujeruhi wengine 105.

Serikali ya Saudi imesema raia wa mataifa mbalimbali ni miongoni mwa waliojeruhiwa, ambapo baadhi yao hali zao ni mbaya.

Moto huo umetokea katika jengo hilo linalotumiwa na wafanyakazi wa kampuni kubwa ya mafuta ya Saudi Aramco mashariki mwa mji wa Khobar.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni