.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 30 Agosti 2015

RAHEEM STERLING AFUNGA BAO LAKE LA KWANZA AKIWA NA MANCHESTER CITY

Raheem Sterling amefunga bao lake la kwanza akiwa na Manchester City tangu ajiunge kwa kitita cha paundi milioni 49 akitokea Liverpool.

Katika mchezo huo Manchester City iliifunga Watford mabao 2-0, ambapo Raheem alifunga bao la kwanza katika dakika ya 47, na dakika kumi baadae Fernandinho aliongeza la pili.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni