Wanamuziki wanandoa Beyonce na Jay Z
inawezekana wakawa nyota wa Marekani wanaofuatia kuachana.
Wanandoa hao wameonekana wakiwa
hawana tena pete zao za ndoa, na kuibua uvumi kuwa huenda mambo si
shwari ndani ya ndoa yao.
Vyanzo vya ndani vya habari vimedai
kuwa ndoa ya Jay na Beyonce imetibuka na wanaishi maisha yao kila
mmoja kivyake, ila tu Beyonce hajawa tayari kutoa taarifa rasmi.
Wanandoa hao wanamtoto wa kike Blue
Ivy, 3, ambapo pia Beyonce ameripotiwa kujaribu kupata ujamzito wa
pili katika kujaribu kuokoa ndoa yake.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni