Kesi mpya imedai kuwa Nick Gordon
alimlewesha Bobbi Kristina Brown kwa kumpatia mchanganyiko wa dawa za
kulevya na kumuinamisha uso wake kwenye beseni la bafu ili aweze
kufa.
Gazeti la New York Daily limeripoti
kuwa nyaraka za mahakama katika kaunti ya Fulton, Ga, zinaelezea
tukio hilo kama kifo cha makosa na Gordon hakabiliwi na mashtaka ya
uhalifu.
Brown (22) alifariki dunia Julai 26
akiwa katika chumba cha ungalizi cha wagonjwa mahututi baada ya
kupoteza fahamu tangu mwezi Januari mwaka huu.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni