.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 1 Agosti 2015

UZINDUZI WA JUMUIYA YA TUEPO, RAHA LEO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum Mhe, Haji Omar Kheir kwa niaba ya Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea risala ya wanajumuiaya ya Watazania Wasio na Ajira (TUEPO) kutoka kwa Mwenyekiti Ussi Said Suleiman huko katika ukumbi wa afisi za Jumuiya hiyo Rahaleo, mjini Zanzibar
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum Mhe, Haji Omar Kheir akitoa hutuba ya ufunguzi wa Jumuiya ya Watanzania Wasio na Ajira (TUEPO) kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, leo katika Ofisi yao iliyopo Rahaleo Mjini Unguja (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,Abdalla Mwnyi Khamis na Mwenyekiti wa Jumya hiyo Ussi Said Suleiman
Baadhi ya wanajumuiya ya Watanzania Wasio na Ajira (TUEPO) wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum Mhe, Haji Omar Kheir kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba ya ufunguzi wa jumuiya hiyo leo huko katika Ofisi yao rahale Mjini Unguja
Baadhi ya wanajumuiya ya Watanzania Wasio na Ajira (TUEPO) wakimsikilizaWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum Mhe, Haji Omar Kheir kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba ya ufunguzi wa jumuiya hiyo leo huko katika Ofisi yao rahale Mjini Unguja,{Picha na Ikulu].

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni