Watu
wapatao 13 inasadikiwa kuwa wameuwawa wakiwemo watumishi wa Umoja wa
Mataifa, katika tukio la kutekwa watu katika hoteli katika mji wa
kati wa Sevare nchini Mali.
Wafanyakazi
wengine wanne wa Umoja wa Mataifa wamenusurika baada ya kujificha
kwenye kabati kwa muda wa saa 24, wakati shambulio hilo likijaribu
kudhibitiwa.
Watuhumiwa
wa kundi la Kiislam walionasilaha walizidiwa nguvu baada ya kufanywa
shambulizi na kikosi cha kambi ya jeshi kilichopo karibu na kambi
hiyo.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni