Chelsea imetahadharishwa
watalazimika kulipa karibu sawa na rekodi ya dunia ada ya uhamisho
ili kumnasa kiungo Paul Pogba kutoka Juventus.
Mchezaji huyo wa Ufaransa wa
kimataifa alikuwa anawaniwa na kocha Jose Mourinho katika majira ya
joto ambapo alikuwa na thamani ya paundi milioni 54,
Mtendaji Mkuu wa Juventus Giuseppe
Marotta sasa ametahadharisha kuwa Pogba, ambaye kwa sasa ni miongoni
mwa viungo wa kati bora duniani dau lake litazidi paundi milioni 73.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni