Kiongozi wa Hungari atakutana na
viongozi wa Ulaya Jijini Brussels kuzungumzia mgogoro wa wahamiaji,
huku maelfu wakiwa wamekwama kwenye stesheni ya reli Jijini Budapest.
Tangu jumanne, wahamiaji wamezuiliwa
kuingia ndani ya treni kuondoka Hungari kuelekea mataifa ya Umoja wa
Ulaya.
Wengi wa hamiaji hao Jijini Budapest
wamekata tiketi na wanataka kusafiri kaskazini, lakini Hungari
imewazuia ikisema inatekeleza sheria za Ulaya.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni