.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 20 Septemba 2015

KAMPENI ZA DK. MAGUFULI ZATUA UWANJA WA NYUMBANI CHATO

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi alipowasili kwenye mkutano wa kampeni katika Jimbo lake la Chato, wilayani Chato, Geita lmuda huu.
Mke wa Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Janeth Magufuli alipowasili yeye na mumewe kwenye mkutano w3a kampeni mjini Chato muda mfupi uliopita.
Mgombea uraisa wa CCM Dk Magufuli akiwapungia mkono wananchi mjini Chato.
Msafara wa Mgombea urais wa Tanzania kupitia ccm, Dk Magufuli ukipita karibu na taa za kuongozea magari mjini Chato ukitokea nyumbani kwa mgombea kwenda kwenye mkutano w3a kampeni mjini Chato muda mfupi uliopita.
Sehemu ya umati wa wananchi uliojitokeza katika mkutano wa Dk. magufuli. Picha zote na Kamanda Richard Mwaikenda wa kamanda wa matukio blog.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni