.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 20 Septemba 2015

PAPA FRANCIS AMETOA WITO KWA SERIKALI YA CUBA KULIPATIA UHURU KANISA

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis ametoa wito kwa kanisa nchini Cuba kuwa na Uhuru pamoja na nyenzo za kuendeleza mipango yake, kauli ambayo ameitoa wakati wa ziara yake ya kwanza katika bchi hiyo.

Papa Francis pia amepongeza kuboreka kwa uhusiano baina ya Marekani na Cuba, ikiwa ni mfano wa upatanishi unaopaswa kufuatwa na dunia nzima.

Kiongozi huyo wa kiroho alipata fursa ya kusalimiana na rais Raul Castro wa Cuba baada ya kuwasili katika Jiji la Havana.

Hii leo Papa Francis atahudhuria ibada ya watu wengi katika uwanja wa Ukombozi Jijini Havana.
                                                      Papa Francis akisalimiana na rais Raul Castro 
                              Papa Francis akimbariki binti aliyekuja kumlaki uwanjani

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni