.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 20 Septemba 2015

NDUGU WAWILI ANDY NA JAMIE MURRAY WAING'ARISHA UINGEREZA HUKO GLASGOW

Timu ya Uingereza itapaswa kushinda mchezo wa fainali za Kombe la Davis ili kutwaa taji hilo baada ya ndugu wawili Andy na Jamie Murray kuwashinda wapinzania wao wa Australia Lleyton Hewitt pamoja na Sam Groth.

Katika mchezo huo wa tenesi kwa wachezaji wawili wawili, kila upande timu ya Uingereza ilipata ushindi wa seti 4-6 6-3 6-4 6-7 (6-8) 6-4, ambao sasa unaifanya Uingereza kuongoza alama 2-1 katika michuano hiyo inayofanyika Jijini Glasgow.

Kwa sasa sasa Waingereza hao wanandugu Andy na Jamie Murray watakutana na kati ya timu ya Ubelgiji ama Argentina katika fainali.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni