.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 23 Septemba 2015

KOCHA ARSENE WENGER AMEKAMILISHA MPANGO WA KUACHANA NA MKEWE ANNIE

Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amekamilisha mpango wa kuachana na mkewe Annie, na sasa yupo huru kuanza mahusiano mpya.

Jaji wa Mahakama Jijini Paris ametoa maamuzi ya kuwatenganisha rasmi Wenger na mkewe Annie aliyedumu naye kwa kipindi cha muda mrefu.

Katika uamuzi huo Wenger ataendelea kumsaidia kifedha Annie, wamegawana mali pamoja na fedha.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni