.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 23 Septemba 2015

MARIO BALOTELLI AMEFUNGA GOLI LAKE LA KWANZA TANGU AJIUNGE NA AC MILAN

Mchezaji mtukutu Mario Balotelli amefunga goli lake la kwanza tangu ajiunge na AC Milan na kuizamisha timu ya Udinese ambayo imeporomoka hadi katika kundi la kushuka daraja kufuatia kupoteza mechi nne mfululizo.

Mchezaji huyo wa Liverpool ambaye anachezea AC Milan kwa mkopo alifunga goli la kwanza kwa mkwaju murwa wa adhabu, wakati timu yake ikiibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Udinise.

Mabao mengine ya AC Milani yalipachikiwa kimiani na Giacomo Bonaventura pamoja na Cristian Zapata aliyepachika wavuni bao la mpira wa kichwa katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya Italia.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni