.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 23 Septemba 2015

ZLATAN IBRAHIMOVIC, ANGEL DI MARIA WAIFUNGIA MABAO PARIS ST-GERMAIN

Mwanasoka Zlatan Ibrahimovic ameifungia Paris St-Germain goli lake la kwanza katika msimu huu huku Angel Di Maria akifunga kwa mara ya kwanza bao katika Ligi Kuu ya Ufaransa na kuizima timu ya Guingamp.

Mwanasoko Javier Pastore alitoa pande la goli la kwa Ibrahimovic katika ushindi wa mabao 3-0 na kuongeza rekodi ya Paris St-Germain ya kutokufungwa. Katika mchezo huo Di Maria alifunga bao kwa mkwaju wa karibu kufuatia shuti la Ibrahimovic.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni