.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 27 Septemba 2015

LIONEL MESSI NJE YA DIMBA KWA WIKI SABA HADI NANE

Mshambuliaji nyota wa Barcelona Lionel Messi atakuwa nje ya dimba kwa wiki saba hadi nane baada ya kuchanika msuli wake katika eneo la goti la mguu wa kushoto.

Messi aliumia jana dakika ya tatu ya mchezo wao dhidi ya Las Palmas ulioisha kwa ushindi wa mabao 2-1, na kukimbizwa hospitali.

Kwa jeraha hilo sasa Messi anaweza akakosa mechi nane, lakini atarejea dimbani kuwavaa mahasimu wao wakuu Real Madrid katika mchezo wa Novemba 22. 
                                             Lionel Messi akilia kwa maumivu baada ya kuumia 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni