.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 25 Septemba 2015

MASAI WARRIORS WAPAGAWISHA WATOTO SIKUKUU YA IDD DAR LIVE


Mmoja wa wanaKikundi cha Masai warriors akionesha ujanja wake wa kuendesha baiskeli ya taili moja. 


Watoto wakizidi kumshangaa mtaalamu huyo wa kutembelea baiskeli ya taili moja. 

                                                 Masai Warriors wakionesha madoido kwa watoto.

Mmoja wa wanakikundi cha Masai Warriors akionesha ujanja wa kukunja viongo vyake siku ya Idd El Hajj jana nyakati za jioni.

      Watoto wakizidi kupokea burudani mwanzo mwisho kwa Massai Warriors.

Maonyesha yakiendelea.

WAUMINI wa dini ya Kiislam nchini kote jana waliungana na waumini wenzao duniani kote kusherehekea sikukuu ya Idd El Hajj.

Katika kusherehekea sikukuu hiyo, ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijiniDar es Salaam, kulikuwana tamasha lililotambulishwa kama ‘Amerudi Night’ ambapo kikundi cha Masai Warriors waliwapagawisha watoto kwa kuonesha michezo mbalimbali ikiwemo sarakasi, kuchezea baiskeli na michezo mbalimbali.NA DENIS MTIMA/GPL
      Mtaalamu wa kuchezea baiskeli akionesha ujanja wake mbele ya watoto hao.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni