.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 25 Septemba 2015

OMBI LA KUFUNGA ANGA LA MWANAMITINDO LAIBUA TAFRANI NCHINI ISRAEL

Ombi la mwanamiindo wa Israel Bar Refaeli la kufunga anga kwa ajili kutoa fursa ya kufunga ndoa yake limeibua mgogoro baina ya Waziri wa Usafriri wa nchi hiyo na Mamlaka ya Anga ya Israeil.

Mamlaka ya Anga ya Israel imekubali kufunga anga juu ya hoteli itakayofungiwa harusi hiyo Rafaeli kaskazini mwa Israel.

Hata hivyo Waziri wa Usafirishaji Yisrael Katz ametishia mkufukuza kazi bosi wa Mamlaka ya Anga iwapo hatobadilisha uamuzi wake huo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni