.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 10 Septemba 2015

MUIGIZAJI KIKONGWE URUSI AFUNGA NDOA NA BINTI MBICHI MWENYE UMRI WA MIAKA 24

Muigizaji filamu maarufu mwenye umri wa miaka 84 nchini Urusi ametangaza rasmi mipango ya kuanza maisha ya familia na mkewe mpya ambaye amemzidi umri kwa miaka 60, baada ya kufunga ndoa jana.

Muigizaji huyo filamu mkongwe wa Urusi Ivan Krasko amemuoa mchumba wake Natalia Shevel mwenye miaka 24, ambaye alikuwa ni mwanafunzi wake katika harusi iliyofanyika kisiri na kuhudhuriwa na marafiki wa karibu na familia.

Licha ya mahusiano hayo kukosolewa na watu wengi, wanandoa hao wameelezea uhusiano wao kuwa ni wa watu wawili waliounganishwa kutokea mbinguni.
                    Wanandoa hao babu na mjukuu wakikatiza baada ya kufunga ndoa

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni