.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 14 Oktoba 2015

DK MAGUFULI ASEMA BADO SIKU 12 KUWA RAIS WATANZANIA


Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi kuomba kura za ndiyo katika mkutano wa kampeni mjini Mkuranga, Pwani leo.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG


Wasanii wakishangilia wakati Dk Magufuli akiwasili kwenye mkutano wa kampeni katika Jimbo la Kibiti, mkoani Pwani leo.

Mama mfuasi wa CCM akionesha furaha yake baada ya kumuona Dk Magufuli  wakati msafara wake uliposimamishwa na wananchi katika Kijiji cha Mbwemkulu, Wilaya ya Kilwa.
Mfugaji wa Jamii ya Kisukuma, akifurahia kofia aliyopatiwa zawadi na Dk Magufuli katika mkutano wa kampeni eneo la Nyamwage, wilayani Rufuji leo.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Dk Magufuli akimhesabia Mgombea Ubunge Jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega aliyekuwa akipiga Push Up wakati wa mkutano wa kampeni mjini Mkuranga
Wananchi wa Kata ya Nangaru, Jimbo la Nchinga, wakishangilia baada ya kumuona Dk Magufuli akiwasili kwenye mkutano wa kampeni za CCM, katika Kata ya Nangaru, Jimbo la Nchinga, wMkoa wa Lindi

Dk Magufuli akimvisha kofia mmoja wa wananchama wa upinzani waliamua kuhamia CCM katika mkutano wa kampeni

Dk Magufuli akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Mgombea ubunge Jimbo la Nchinga, Said Mtanda katika mkutano wa kampeni Kata ya Nangaru PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
                                     Mama akishangaa kumuona Dk Magufuli wilayani Kilwa
Mmoja w a waliokuwa viongozi wa CUF, akitangaza kujitoa Chama Cha Wananchi (CUF), NA KUJIUNGA ccm katika kutano wa kampeni za CCM,mjini Kilwa.

Dk Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Kilwa Kusini, wakati wa mkutano wa kampeni za CCM mjini Kilwa Masoko.
Dk Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Kilwa Kaskazini, Murtaza Mangungu eneo la Malendegu, wilayani Kilwa.
Wananchi wakishangilia kwa furaha na kuahidi kumpigia kura za ndiyo katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, mwaka huu, Dk Magufuli..PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni