Kampuni ya kutengeneza ndege la
Boeing imeripoti ongezeko la faida la asalimia 25, likichangiwa na
mauzo ya ndege zake za kubeba mizigo.
Kampuni hiyo kubwa ya kutengeneza
ndege imeingiza dola bilioni 1.70 katika mwezi Julai hadi Septemba,
ikiwa juu ya dola bilioni 1.36 katika mwaka uliopita.
Mapato ya Boeing yameongezeka kwa
asilimia 9 kwa kiasi cha dola bilioni 25.85, huku ndege za biashara
zikichangia hadi asilimia 7.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni