.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 22 Oktoba 2015

LOWASSA ALITEKA JIJI LA TANGA KWA MARA NYINGINE TENA

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia wananchi wakati akiwasili kwenye viwanja wa Indian Ocean, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, Oktoba 21, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwahutubia wananchi wa jiji la Tanga waliofurika katika viwanja wa Indian Ocean, katika Mkutano wa Kampeni, Oktoba 21, 2015.
Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Fredrick Sumaye, akiwahutubia wananchi wa jiji la Tanga waliofurika katika viwanja wa Indian Ocean, katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, Oktoba 21, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga Mjini kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF, Mussa Bakar Mbarouk, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye viwanja vya Indian Ocean, Jijini Tanga, Oktoba 21, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwanandi kwa wananchi, Wagombea wa nafasi ya Udiwani, Jijini Tanga leo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni