Msemaji wa Polisi Kenya Masoud Mwinyi ni miongoni mwa maafisa polisi waliofukuzwa kazi.
Hatma ya maafisa wengine wa polisi 29 haijajulikana bado, ambapo watachunguzwa zaidi na Tume ya Huduma za Polisi Kenya.
Matokeo ya uchunguzi huo wa tume hiyo yamehusisha maafisa polisi 1,364 waliochunguzwa kwa muda wa miezi 14.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni