.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 11 Oktoba 2015

MSAFARA WA MAGARI YA WANAJESHI WA UINGEREZA WASHAMBULIWA JIJINI KABUL

Msafara wa magari ya wanajeshi wa Uingereza umeshambuliwa ukiwa katika dori katika Jiji la Kabul nchini Afghanistan.

Wizara ya Ulinzi wa Uingereza imesema shambulio hilo limetokea katika eneo la makazi ya watu karibu na soko hii leo na kujeruhi watu saba. Hakuna Muingereza aliyejeruhiwa.

Wapiganaji wa Taliban wamesema wamefanya mashambulizi hayo kujibu mapigo ya mashambulizi ya anga yaliyofanywa katika mji wa Kunduz yaliyouwa raia na madaktari.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni