Balozi Dk. Diodorus Buberwa Kamala
Mgombea Ubunge Jimbo la Nkenge akipokea zawadi kutoka kwa Wanachuo wa
Chuo Cha Ufundi cha Partage cha Bweyunge. Balozi Kamala amepongeza
Vijana hao kwa kazi nzuri wanayofanya. Dk. Kamala amehaidi
kushirikiana nao kwa karibu akichaguliwa kurejea Bungeni.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni