Balozi mteule wa Hispania nchini Tanzania Mhe. Felix Costales akikabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 7, 2015.
Balozi mteule wa Ubelgiji nchini Tanzania Mhe. Paul Cartier akikabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 7, 2015.
Balozi mteule wa Msumbiji nchini Tanzania Mhe. Monica Patricio Clemente akikabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Eliphace Marwa – Maelezo
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni